Msemaji wa Yanga SC, Ally Kamwe ongeza uchangamfu ukiwa unaongea redioni

Msemaji wa Yanga SC, Ally Kamwe ongeza uchangamfu ukiwa unaongea redioni

Nimekusikia ukiwa mubashara EFM Sports Headquarters muda mfupi tu uliyopita, ila umeboa kwa kuwa huna amshaamsha na unaongea kiofisi zaidi wakati hadhira yako ni 98% oya oya (masela) tupu tu.
We jamaa huna tofauti na Mwajuma ndala ndefu... Ya mtaa wa kumi hayakuhusu deal na ndoa yako utaachika ukose wa kukuoa
 
Mtakimbia nyie makolo fc mtapigwa kama mbwa koko
 
Daaaah huu n wivu tu.kwani uchangamfu ndio unacheza uwanjani?
 
Nimekusikia ukiwa mubashara EFM Sports Headquarters muda mfupi tu uliyopita, ila umeboa kwa kuwa huna amshaamsha na unaongea kiofisi zaidi wakati hadhira yako ni 98% oya oya (masela) tupu tu.
Hawezi kuwa mwenye furaha sababu ajajuwa jumapili anaenda kumtoa nani Tena kwenye familia kwajili ya timu.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Nyie wanawake mnapenda mashamsham sana. Haya yote yatamalizwa Jumapili.
 
Back
Top Bottom