GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
hiiiii[emoji23][emoji28][emoji28]ZAHERA anasema machezaji ya yanga ni Kama wamama wajawazito tu wanaongezeka kilo kila siku utadhan Maboga ya Kongwa
We jamaa huna tofauti na Mwajuma ndala ndefu... Ya mtaa wa kumi hayakuhusu deal na ndoa yako utaachika ukose wa kukuoaNimekusikia ukiwa mubashara EFM Sports Headquarters muda mfupi tu uliyopita, ila umeboa kwa kuwa huna amshaamsha na unaongea kiofisi zaidi wakati hadhira yako ni 98% oya oya (masela) tupu tu.
ZAHERA anasema machezaji ya Yanga ni Kama wamama wajawazito tu wanaongezeka kilo kila siku utadhan Maboga ya Kongwa
Hawezi kuwa mwenye furaha sababu ajajuwa jumapili anaenda kumtoa nani Tena kwenye familia kwajili ya timu.Nimekusikia ukiwa mubashara EFM Sports Headquarters muda mfupi tu uliyopita, ila umeboa kwa kuwa huna amshaamsha na unaongea kiofisi zaidi wakati hadhira yako ni 98% oya oya (masela) tupu tu.
Utani uwe na mipaka, huko ulikofika umevuka mipaka.Hawezi kuwa mwenye furaha sababu ajajuwa jumapili anaenda kumtoa nani Tena kwenye familia kwajili ya timu.
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app