GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
" Yaani ameacha Kutuandikia Barua kama Klabu ya Kutuomba Msamaha Yeye Kakimbilia Kuomba Msamaha Mtandaoni kana kwamba huko Mitandaoni ndiko Kumemuajiri Yeye. Naona ndiyo amezidi tu Kuharibu hivyo Sisi kama Klabu tutaendelea na Kikao chetu cha Nidhamu Kumjadili na kuja na Maamuzi juu yake "
Chanzo: Spoti Leo Radio One Stereo.
Ushauri wangu wa bure GENTAMYCINE Kwako Kipa Metacha Mnata ni kwamba kwa Maongezi ya Msemaji wa Yanga SC Hassan Bumbuli alipohojiwa na Radio One Stereo muda mfupi tu uliopita nakuomba achana na Yanga SC kwani wameshakuchoka na hawakutaki tena Klabuni Kwao.
Ukibakia Yanga SC utapatwa makubwa.