GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Simba na ujinga ni pipa na mfuniko, msemaji wa club kasema club haitambui msamaha unaoombwa kupitia sijui huko facebook. Kikubwa, pamoja na ya facebook, ahakikishe anaomba msamaha kwa club. Tena wamempa tahadhari nzuri tu. Yanga ingekuwa na viongozi wenye akili mbovu kama Simba ungesikia Metacha anaenda kupimwa akili.Yanga haiko professional kabisa. Kuiandikia Yanga ni hatua ukizingatia leo ni jmosi. Kwani kuna ubaya gani akiomba msamaha fans then j3 atafikisha barua yanga. this is a fu$%cking club of the season
Simba na ujinga ni pipa na mfuniko, msemaji wa club kasema club haitambui msamaha unaoombwa kupitia sijui huko facebook. Kikubwa, pamoja na ya facebook, ahakikishe anaomba msamaha kwa club. Tena wamempa tahadhari nzuri tu. Yanga ingekuwa na viongozi wenye akili mbovu kama Simba ungesikia Metacha anaenda kupimwa akili.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Naona hata kuandika unapata shida, kalisha hilo dela chini usome ukiwa umetulia.Jione ulivyomhinga sasa! Mchezaji anawatwanga Dole la Kati (akimaanisha nyote munagongwa) bado tu unafurahia na kumuona ana akili?
Sasa ungelikuwa Simba Tungempima akili Metacha pamoja na wewe uliyefurahia Dole.
Naona hata kuandika unapata shida, kalisha hilo dela chini usome ukiwa umetulia.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Naona bado mnduku unakuwasha, ulikotoka ni kama hukusuuzwa vizuriKitu pekee ninachokijua Dela ni Vazi rasmi linalotambuliwa na Yanga kama sare yao! Unazidi kuonesha upopoma wako hapa.
Eyamel abarikiwe kwakweli
Naona bado mnduku unakuwasha, ulikotoka ni kama hukusuuzwa vizuri
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Upunguze tabia zako za kupapatikia wanaume, wengi wa style yako huishia kuliwa.Pale Nyani anapokosa hoja haya ndiyo matokeo yake! Abarikiwe Eymael kwa kuwaexpose hawa Nyani pale alipowaita "Uneducated" Mmoja wapo ni huyu Dada Peremende anaamini Matusi ndiyo yanamjengea Ujasiri na Urijali.
Daaaaaah umeonesha jinsi gani ulivyo mjinga, unawekaje hela wakati tume ya ushindani haijapitisha? Afu wakija kusitisha aje azitoe tena? Kweli nyie manyaniMashabiki wa Simba wanatumia muda wao mwingi kuyajadili masuala ya timu Pinzani (Yanga) kuliko masuala yao ya msingi! Ukiwauliza kama mdhamini wao ameshaweka kwenye akaunti ya klabu zile bilioni 20 alizo ahidi, utashangaa majibu watayo yatoa!
Masuala ya Metacha Mnata na Mwajiri wake, hayahusiani kabisa na Simba! Inakuwaje mnatumia muda mwingi kujadili suala lisilo wahusu? Au ndiyo ule umbumbumbu mlioitwa na Mwenyekiti wenu Mstaafu Ismail Aden Rage unaendelea kuwasumbua?