Msemaji wa Yanga ya Mkoani njoo uthibitishe nyinyi ni Yanga B

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Your browser is not able to display this video.

Msemaji wa Singida BS Hussein Massanza tulipokutana Singida nilikwambia uache kuwasumbua watu kwamba mtaifunga Yanga. Nilikuuliza mtashindaje ikiwa mnacheza kwa maelekezo? Mzee wa Jambia kaiweka vizuri, ni bora muwe mnaenda tu TFF kusaini matokeo mnayokubaliana badala ya kuleta mashabiki kutazama maigizo

Sasa mpira tumeuona, njoo hapa uthibitishe maneno yangu kuwa nyinyi ni Yanga ya Mkoani. Katika kuthibitisha hilo waambie watu kiwango mlichoonyesha mechi ya Simba na hii ya dada zenu.
 
MATOKEO YA SINGIDA FG MSIMU HUU... NBC PREMIER LEAGUE

1. Singida 0 Tanzania prisons 0
2. Singida 0 Tabora Utd 0
3. Azam 2 Singida 1
4. Mtibwa 0 Singida 1
5. Singida 1 Simba 2
6. Namungo 2 Singida 3
7. Yanga 2 Singida 0


Kabla ya kucheza na Yanga, Singida alikua amecheza game sita.... Kwenye hizo game sita kachezea vichapo viwili toka Kwa Azam na Kolo.. huku akidroo tena uwanja wa nyumbani game mbili na timu vibonde.... Sasa angewazaje kumfunga Yanga???

Rage apewe TUZO [emoji16]
 
Mwasibu vipi tena
 
Aaahaaa asante kwa data hizi
 
 
Bosi alikuwepo uwanjani halafu wafungwe wakati ilikuwa tayari imethibitishwa.
 
Mhasibu feki CPA Okw wa CAF.
 
Kama Simbwa ilimfunga kwa goli la tatu malogo unadhani yanga ndio ingemshindwa? Usiwe unajivua nguo kwa kulinganisha Kila kitu mhasibu utakuja kuishia pabaya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…