Hii picha bado sijailewa, naona kama UWT wanacheza picha fulani hapa na Msema kweli! Hakuna taarifa mpya hapa ila kuna hoja mpya kuwa fedha hazitumika kwenye kampeni za Kikwete.!
Ehee Mungu wa Rehema tunakuomba umlinde na kumtunza afya ya MSEMAKWELI as a fellowTanzania citizen i am really very proud of you. i wish they were at least 100 people like you who are willing to stand up and say the emperor has no clothes.
Huyo Manji anatapatapa tu maana sasa anajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe ushahidi aliotoa unaonesha ameingia mkataba wa kukopa na kampuni hewa haijasajiliwa!