Msemakweli amjibu Yusuf Manji kuhusu KAGODA

Msemakweli amjibu Yusuf Manji kuhusu KAGODA

Hii picha bado sijailewa, naona kama UWT wanacheza picha fulani hapa na Msema kweli! Hakuna taarifa mpya hapa ila kuna hoja mpya kuwa fedha hazitumika kwenye kampeni za Kikwete.!
 
huyu msema kweli kakosa ustar...anabwabwajuka tu
Wewe Manji nini?Hacha hizo basi weka ukweli wako kama mwenzako anabwabwajuka! Tuzione
 
Ehee Mungu wa Rehema tunakuomba umlinde na kumtunza afya ya MSEMAKWELI as a fellowTanzania citizen i am really very proud of you. i wish they were at least 100 people like you who are willing to stand up and say the emperor has no clothes.
 
Waambien bwana la sivyo tugonge route ili warudi makwao ni wapuzi sana "msema kweli tuko nyuma yako kaka"
 
Endelea kuwaumbua hao...Tunahitaji watanzania km msemakweli!!!
 
Huyo Manji anatapatapa tu maana sasa anajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe ushahidi aliotoa unaonesha ameingia mkataba wa kukopa na kampuni hewa haijasajiliwa!
 
Hana lolote anatumiwa kuisafisha CCM any poa
 
Ukweli utasimama na Msemakweli tuko nyuma yako kwa hakika na mwisho wao ni huu .
 
Back
Top Bottom