MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Kauli ya Msemaji Mtibwa Sugar..
" Sina Malalamiko au Lawama zozote kwa Kipigo hiki Kikubwa kutoka Simba SC kwani tusidanganyane kwa sasa Tanzania, Afrika Mashariki na hata Afrika hakuna Timu nzuri na ya Kiushandani na iliyoenea kila Idara kama Simba SC "
Kauli ya Kaimu Kocha Barnabas..
" Nimefungwa Goli nyingi hizi kwakuwa Wachezaji wangu leo walikuwa wameshaanza Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, ila Simba SC ni Timu ya Kawaida mno na sijui hata huko Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika walifikaje "
Chanzo: Wasafi FM leo Saa 1 Usiku huu.
Kumbe Tanzania nzima Wachezaji (Watu) waliofunga Ramadhan iliyoonza leo ni Wakristo tu na kwamba akina Mohammed Hussein, Shomary Kapombe, Meddie Kagere pamoja na Kipa Aisha Manula hawa leo pale kwa Mkapa hawakufunga kama Waislamu wengine na huenda nao sasa ni Wakristo.
Upuuzi na Uswshili huu Usiovumilika wa Kaimu Kocha wa Mtibwa Sugar Vicent Barnabas haukuanzia hapa bali Yeye pia ndiyo chanzo Kikuu cha aliyekuwa Kocha wa Mtibwa Sugar Pierre Hitimana ' Kutimkia' Kwao nchini Burundi kutokana na Majungu na Uswahili wake uliozidi huku akiwagawa Wachezaji pia.