Da kiukweli Jana kuna kamsemo furani nimekasikia sikupata jibu aliyeusema alikuwa anafikiria nini wakati anausema.
Msemo wenyewe ni kwamba;
*"ukiwa unaoga na wenzako Jela...halafu sabuni ikadondoka... Achana nayo usiiokote"..*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]