Msemo fikirishi

Msemo fikirishi

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Da kiukweli Jana kuna kamsemo furani nimekasikia sikupata jibu aliyeusema alikuwa anafikiria nini wakati anausema.

Msemo wenyewe ni kwamba;

*"ukiwa unaoga na wenzako Jela...halafu sabuni ikadondoka... Achana nayo usiiokote"..*

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kala kichapo ukonga huyoo!! mwambie aende hospitali aache kujifanya muunda mafumbo
 
Hilo jina lako, ndiyo jina langu kwa kiluga chetu[emoji2][emoji23][emoji2]
 
Back
Top Bottom