jiwe gizani
JF-Expert Member
- May 25, 2021
- 380
- 507
kauli ya kutafutiana matatizo hiyo" umemwaga ndani
Kwanini??Mwendazake sipendi kbsa kusikia hili neno
Sasa umeshawahi kuona wapi mtu akivuliwa nguo au kanga ikspeperushwa na upepo mtu akasimama wima? Lazima uchuchumae (kuchutama) ili kuficha zana za kazi zisionekane..."Muungwana akivuliwa nguo huchutama" huu msemo bwana,sasa mambo ya kuvuliwa nguo afu unachutama,yakheee hii sio sawa[emoji85][emoji1787][emoji1787]