Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Kila siku utasikia hakuna ajira na watu wajiajiri, sasa wajiajiri ili wamuuzie nani na nini? Tanzania ni nchi masikini tena sana sasa kila mtu akijiari hiyo biashara nani atanunua na kwa kipato gani?
Kwangu mimi Mwanasiasa anayewaambia watu wajiajiri wakati per capital income ya Tanzania ni ndogo mno kuweza kusupport biashara yoyote binafsi, huyo Mwanasiasa anapaswa kuondolewa kazini.
Kazi ya Mwanasiasa ni kutengeneza mazingira yanayoweza kutengeza ajira kwa Wananchi na siyo kuwaaambia wajiajiri wajiajiri, bure kabisa na Low IQ Wanasiasa wa Tanzania.
Umeme hakuna, maji hakuna, barabara mbovu, haya hata hiyo SGR ambayo ingetegemewa kupunguza muda wa safari hakuna tena, halafu mnawaambia watu wajiajiri, how ??