Msemo "mi nakula bata" ulinifukuzisha kunako dhehebu la sabato miaka kumi (10) iliyopita

secretarybird

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2024
Posts
23,984
Reaction score
51,055
Siku kama ya Leo mwaka 2016 Msemo "mi nakula bata" ulinifanya wasabato wanisimamishe kanisani kwao.

Baada ya kuuliza kwa nini walifanya vile, wakaniambia wasabato huwa hawali 'Bata'.
Nikawaelewesha nilichomaanisha wakakaza fuvu.

Aisee, nilikasirika sana hadi nukaamua kuachana na dhehebu hili nililolipenda, na huo ndio ulikuwa mwanzo wa kuanza kupinga uwepo wa Mungu.

Sasa sina dini na simwamini Mungu na Niko vyema tu!
 
Siku kama ya Leo mwaka 2016 Msemo "mi nakula bata" ulinifanya wasabato wanisimamishe kanisani kwao.

Baada ya kuuliza kwa nini walifanya vile, wakaniambia wasabato huwa hawali 'Bata'.
Nikawaelewesha nilichomaanisha wakakaza fuvu.

Aisee, nilikasirika sana hadi nukaamua kuachana na dhehebu hili nililolipenda, na huo ndio ulikuwa mwanzo wa kuanza kupinga uwepo wa mungu.

Sasa sina dini na simwamini munga na Niko vyema tu!
Acha kuamini dhehebu, lakini bakia kumwamini na kumtumainia Mwenyezi Mungu pekee.

Kumuasi Mungu ni kiburi ambacho kwa binadamu kinatokana na pumzi(life) na afya njema.

Gonjwa hatari likikuelemea hapo mkuu, kiburi kitaondoka na utamuomba Mungu akusaidie hata bila ya kuwa mfuasi wa dini ama dhehebu lolote.

Tubu na umrudie Mungu wako, haujachelewa.
 
Nitaangalia na kuona mkuu .
 
Jibu murua kabisa, naunga mkia hoja.
 
Wewe ukiminywa Pumbu utaeleza vizuri sababu ya kukimbia usabatoni,Hiyo sababu ya "Kula bata" Haina mashiko
 
Back
Top Bottom