secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Munga ❌.Eti humwamini munga, na ukome!😂
Kumbe Bata ni tusi! Sikulijua hilo 😂.Aaaa Brid bata ni kinyeo namana ulitaka waendelee kukutaza ukitifua matifunyungu!
Imani zimekuwa matangazo siku hizi..Munga ❌.
Mungu ✅.
Acha kuamini dhehebu, lakini bakia kumwamini na kumtumainia Mwenyezi Mungu pekee.Siku kama ya Leo mwaka 2016 Msemo "mi nakula bata" ulinifanya wasabato wanisimamishe kanisani kwao.
Baada ya kuuliza kwa nini walifanya vile, wakaniambia wasabato huwa hawali 'Bata'.
Nikawaelewesha nilichomaanisha wakakaza fuvu.
Aisee, nilikasirika sana hadi nukaamua kuachana na dhehebu hili nililolipenda, na huo ndio ulikuwa mwanzo wa kuanza kupinga uwepo wa mungu.
Sasa sina dini na simwamini munga na Niko vyema tu!
Naunga mkono hoja.Imani zimekuwa matangazo siku hizi..
Nitaangalia na kuona mkuu .Acha kuamini dhehebu, lakini bakia kumwamini na kumtumainia Mwenyezi Mungu pekee.
Kumuasi Mungu ni kiburi ambacho kwa binadamu kinatokana na pumzi(life) na afya njema.
Gonjwa hatari likikuelemea hapo mkuu, kiburi kitaondoka na utamuomba Mungu akusaidie hata bila ya kuwa mfuasi wa dini ama dhehebu lolote.
Tubu na umrudie Mungu wako, haujachelewa.
Pumzi itakata kwa Kila mtu. Kwa aaminiye na asiyeamini.Pumzi isikuhadae ndugu yangu ktk Imani,
Ni noma usije kupayuka tena hadharani linaweza kukuletea matatizo ya kiafya hasa masimango.Kumbe Bata ni tusi! Sikulijua hilo.
Jibu murua kabisa, naunga mkia hoja.Acha kuamini dhehebu, lakini bakia kumwamini na kumtumainia Mwenyezi Mungu pekee.
Kumuasi Mungu ni kiburi ambacho kwa binadamu kinatokana na pumzi(life) na afya njema.
Gonjwa hatari likikuelemea hapo mkuu, kiburi kitaondoka na utamuomba Mungu akusaidie hata bila ya kuwa mfuasi wa dini ama dhehebu lolote.
Tubu na umrudie Mungu wako, haujachelewa.
Pumzi isikuhadae ndugu yangu ktk Imani,,Pumzi itakata kwa Kila mtu. Kwa aaminiye na asiyeamini.
Sitarudia tena.Ni noma usije kupayuka tena hadharani linaweza kukuletea matatizo ya kiafya hasa masimango.