Msemo mpya kabisa waibuka kwenye mitandao ya kijamii unaujua?

Msemo mpya kabisa waibuka kwenye mitandao ya kijamii unaujua?

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Ukisoma mitandao mingi ya kijamii watu siku hizi wana kamsemo ka kumalizia hoja zao. Utakuta mtu anatiririka hoja zake wee mwisho anafunga kwa; Tulikosea mahali 2015. Wanamaanisha nini?
 
Bora hao wale wanaosemaga "tutaelewana tu" mimi huwa siwaelewi kabisa...
 
Ukisoma mitandao mingi ya kijamii watu siku hizi wana kamsemo ka kumalizia hoja zao. Utakuta mtu anatiririka hoja zake wee mwisho anafunga kwa; Tulikosea mahali 2015. Wanamaanisha nini?
Tulipatia mapishi ila mbwembwe zikakoleza chumvi saivi msosi hauliki

Jr[emoji769]
 
Tulitoa mahari kidogo wakati mwali alikua bikra
 
Wanamaanisha siku hizi maisha ni magumu hata umeme haulali ndani kwa sababu ya giza
 
Back
Top Bottom