Msemo mpya, 'Ni Shiiiiiida'

Msemo mpya, 'Ni Shiiiiiida'

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Hili neno naona ni INGIZO jipya na linashika kasi kwenye medani mbalimbali ikiwemo ya Press

asili yake nini haswa...!!?
 
vijana wanasema shida wakimaanisha raha
matumizi yake hayatofautiani sana na neno kama mzuka, noma
kuna neno lingine umenikumbusha wanakuambia jamaa MBAYA ...wakimaanisha sifa nzuri
 
hiyo ni misimu tu huja na kupotea..........kama alivyo sema j mo staili ya kiduku itapita ila upara hauchuji milele
 
maneno mengine bana......me mara ya kwanza nililiskia kwenye movies zile zilizotafsiliwa.
 
Back
Top Bottom