Msemo wa "D mbili" una maana gani?

Msemo wa "D mbili" una maana gani?

Watu wanaposema "kama una D mbili" utanielewa huwa wana maana gani?

Zamani nilikuwa naona pia humu JF watu wanakomenti sana DD kwenye nyuzi pia.
D mbili ni minimum pass marks. Wanamaanisha kama kidato cha nne huna D mbili basi una uwezo mdogo wa kiakili hivo hakuna jambo utaelewa
Hii imetokana na matangazo ya vyuo vya kati kutaka D mbili kwa masomo yasiyo ya Dini ili kupata admission
 
Ukifeli shule ukitaka kusomeshwa swali la kwanza unaulizwa katika masomo yote uliofeli una "D MBILI" ili atleast tukuendeleze kielimu mana kila Profession inataka uwe na D mbili!
Kwahiyo imekua famous kwa style hio!
Kwamba Kama Huna D Mbili huwezi kuelewa jambo manake wewe ni mbumbumbu kabisa!
 
D mbili ni minimum pass marks. Wanamaanisha kama kidato cha nne huna D mbili basi una uwezo mdogo wa kiakili hivo hakuna jambo utaelewa
Hii imetokana na matangazo ya vyuo vya kati kutaka D mbili kwa masomo yasiyo ya Dini ili kupata admission
D mbili ni vyuo vya VETA na sio vya kati mkuu
Vya kati ni vile vya certificate na diploma ambavyo ni D nne
 
A3-NVA.jpg
 
Ni kawaida ya walamba lips kushirikiana na wadada kuwa na misemo mipya kila baada ya muda flan kuna kipindi walamba lips na mademu wote walikua wanasema "upo nyonyo"
 
Back
Top Bottom