Msemo wa funika kombe mwanaharamu apite inavyo zidi kumaliza taifa kwa kujifichia kwenye amani,ukarimu na busara

Msemo wa funika kombe mwanaharamu apite inavyo zidi kumaliza taifa kwa kujifichia kwenye amani,ukarimu na busara

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
6,007
Reaction score
15,216
Huu msemo unatufanya kufanyiwa ujinga mwingi kwa kisingizio cha amani ndio kinatupeleka taifa kubaya.

October 29 na yanayoendelea yanataka kuwekewa msemo huu ili kama hakuna lolote lijatokea wala wale sio watu.

Na huu msemo kwa sasa ndio unafanya njia ya kunyamazisha hata kama mwanaharamu kafanya we funika tu kwa vile msemo umekufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom