Msemo wa wanawake hawapendani

Msemo wa wanawake hawapendani

Kiplayer

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
1,180
Reaction score
1,964
Wanaume wenye changamoto katika mahusiano ni miongoni mwa evidence zinazoupa nguvu msemo huu wa wanawake hawapendani. Ili mwanaume utofautiane na mwanamke lazima mfanane tabia, wote mmiliki tabia za kike au kiume. Like poles hupishana.

Mara nyingi katika mahusiano mwanaume huambukizwa tabia za kike kwa hiyo wote mnakuwa kama wanawake, hamuwezi kuelewana kamwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wanaume tujitahidi kulinda tabia zetu za kiume ili tudumu katika mahusiano.
 
Kuna baadhi ya wanaume wame chukuwa kazi ya wanawake ya umbeya, utalikuta dume zima linakuhadisia umbeya nabaki kujiuliza hili si mbususu lakini.



Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Back
Top Bottom