Mseto na mchuzi wa nazi wa samaki

Mseto na mchuzi wa nazi wa samaki

Napenda samaki...urojo mtam huu
Shukrani mama
 
Thanks kwa pishi bi shost.

Umenikumbusha mama yangu ni mpishi mzuri wa mseto. Sema sasa umri umeenda tu maskin.

Pia mseto unanoga pia kwa roast la nyama au hata mchuzi wa nyama wa nazi.

Yummy
 
Thanks kwa pishi bi shost.

Umenikumbusha mama yangu ni mpishi mzuri wa mseto. Sema sasa umri umeenda tu maskin.

Pia mseto unanoga pia kwa roast la nyama au hata mchuzi wa nyama wa nazi.

Yummy
Yah hata mamaangu anaupika sana na mchuzi wa nazi wa nyama…..🙂
 
Umenikumbusha, siku mseto ukipikwa siijui shibe yangu, ulipontajia changu haswaa ndo samaki mwenywe, asante sana pishi ni zuri
 
samakii sheee
BORA SIMBA ALE MIMI SI SAMAKI
MATUMOKI DOIIII
 
Back
Top Bottom