thetowerofbabel
JF-Expert Member
- Jul 17, 2010
- 266
- 360
Ipo hiviMseven AKA M7. Ameamua kuitolea uvivu Marekani na kusema kwamba hawatishiki na vitisho vyao, bali sheria yao ipo palepale. Mwamba anasema kama watapewa vikwazo watafanya biashara na mataifa Mengine. Kwenye suala la misaada amesema watabana matumizi.
Marekani anahubiri Demokrasia mbona anapangiwa watu mambo anayotaka yeye?? Hii ndo maaana ya demokrasia??. Nawakumbusha Uganda sio sehem salama kwa LGBTQ kule wako serious.
GOD BLESS UGANDA [emoji1254]
GOD BLESS MSEVEN.View attachment 2645107
View attachment 2645108
Mseveni anatengenza kick
Ili aendelee kubaki madarakani na amefanikiwa hili kwa ku divert attention watu wasijadili utawala wake wa ki dikteta