Mshabiki kindakindaki wa Mnyama, Simba SC ila nasimama na Yanga SC wapite kwenda robo fainali

Mshabiki kindakindaki wa Mnyama, Simba SC ila nasimama na Yanga SC wapite kwenda robo fainali

Mngoni asiyepiga gambe

Senior Member
Joined
May 4, 2017
Posts
151
Reaction score
318
Nimeangalia game ya Mc Alger na Mazembe ya jana(ijumaa) kule Algeria ,well ukweli ni kwamba hamna timu kati ya zile yenye quality ambayo Yanga wanayo

Nadhan itakuwa sio fair kwa mpira wa miguu kwa Yanga hii ya Pacome,Aucho , Baka etc kutoenda robo halafu aende Mc Alger,plus the fact kwamba timu za Tanzania zina amsha amsha kubwa kwenye hii michuano na CAF wenyewe wanalijua hilo.

ALL THE BEST DEPORTIVO LE UTOPOLO MJISHIKILIE IBENGE ASIWASHENYETE TENA MTATUTIA AIBU KAMA TAIFA.
 
Mleta thread mi naona Simba wafuzu amsha amsha mtazifanya wenyewe huko CAF sisi watani zenu Mi naona tusifuzu mambo yasiwe mengi.
Tutajaribu mwakani
Tuwaachie waliofuzu waendelee wataamshia amshia watakaobaki mana kelele na kejeli zishakua nyingi.
msimu huu umekuwa wa taabu na machungu sana kwetu sisi wana yanga
 
Mleta thread mi naona Simba wafuzu amsha amsha mtazifanya wenyewe huko CAF sisi watani zenu Mi naona tusifuzu mambo yasiwe mengi.
Tutajaribu mwakani
Tuwaachie waliofuzu waendelee wataamshia amshia watakaobaki mana kelele na kejeli zishakua nyingi.
Poleee. Sikudhani kama mnaumia kiasi hiki. Nitashawishi wenzangu tupunguze kebehi na utani.
 
Nimeangalia game ya Mc Alger na Mazembe ya jana(ijumaa) kule Algeria ,well ukweli ni kwamba hamna timu kati ya zile yenye quality ambayo Yanga wanayo nadhan itakuwa sio fair kwa mpira wa miguu kwa Yanga hii ya Pacome,Aucho , Baka etc kutoenda robo halafu aende Mc Alger,plus the fact kwamba timu za Tanzania zina amsha amsha kubwa kwenye hii michuano na CAF wenyewe wanalijua hilo.
ALL THE BEST DEPORTIVO LE UTOPOLO MJISHIKILIE IBENGE ASIWASHENYETE TENA MTATUTIA AIBU KAMA TAIFA.
Utakuwa kuna pisi ya kiutopolo unainyemelea unajaribu kusafisha njia
 
Yani maneno mengi mpaka yamenichosha binafsi. Hebu tuwaache waende tubaki na vile ligi itasimama miezi 2 tukae kimyaa mpaka msimu uishe ni silent moves. Gusa achia twende kwao tuishi tu humo
Kiuweli mlikosea timing ya kufukuza kocha mkashenyetwa game 2 hiyo itawa haunt had mechi ya mwisho
 
Back
Top Bottom