SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Uto wamechoka blo. Kuzifunga hivi vitimu sijui Dodoma Jiji sijui Mazembe iliyojichokea kusikupumbaze. Yanga hii ikikutana na timu kama Pyramids au Esperance watatia aibu nakwambia. Wakitoka mapema washukuru kikombe walichokiepuka.Mbali na kuipenda Simba pia naupenda mpira zaidi nadhan utanielewa upande huo
Ni kweli MCA siyo timu ya kutisha kihivyo ila kila mechi ina pressure zake. Kuiangalia MCA kwa mechi ya jana tu ni kuukosea mpira.