Mngoni asiyepiga gambe
Senior Member
- May 4, 2017
- 151
- 318
Mechi kesho usiku banaa..!!Fainali ya yanga kwenye michuano hii ni leo, akishinda inaamusha matumaini ya kuingia hatua inayofuata.
Kwani game ni Leo!?mi nadhani keshoFainali ya yanga kwenye michuano hii ni leo, akishinda inaamusha matumaini ya kuingia hatua inayofuata.
Sasa jiandae kwa Raha ya kukojolewa wazungu, shwiii shwii shwiiiii...Yanga ikipigwa huwa napata raha kama nakojoa wazungu. Shwaa-shwaaa
msimu huu umekuwa wa taabu na machungu sana kwetu sisi wana yangaMleta thread mi naona Simba wafuzu amsha amsha mtazifanya wenyewe huko CAF sisi watani zenu Mi naona tusifuzu mambo yasiwe mengi.
Tutajaribu mwakani
Tuwaachie waliofuzu waendelee wataamshia amshia watakaobaki mana kelele na kejeli zishakua nyingi.
Yani maneno mengi mpaka yamenichosha binafsi. Hebu tuwaache waende tubaki na vile ligi itasimama miezi 2 tukae kimyaa mpaka msimu uishe ni silent moves. Gusa achia twende kwao tuishi tu humomsimu huu umekuwa wa taabu na machungu sana kwetu sisi wana yanga
Aisee we bint unamatusi sanaSasa jiandae kwa Raha ya kukojolewa wazungu, shwiii shwii shwiiiii...
kabisa ndugu yanguYani maneno mengi mpaka yamenichosha binafsi. Hebu tuwaache waende tubaki na vile ligi itasimama miezi 2 tukae kimyaa mpaka msimu uishe ni silent moves. Gusa achia twende kwao tuishi tu humo
Poleee. Sikudhani kama mnaumia kiasi hiki. Nitashawishi wenzangu tupunguze kebehi na utani.Mleta thread mi naona Simba wafuzu amsha amsha mtazifanya wenyewe huko CAF sisi watani zenu Mi naona tusifuzu mambo yasiwe mengi.
Tutajaribu mwakani
Tuwaachie waliofuzu waendelee wataamshia amshia watakaobaki mana kelele na kejeli zishakua nyingi.
Utakuwa kuna pisi ya kiutopolo unainyemelea unajaribu kusafisha njiaNimeangalia game ya Mc Alger na Mazembe ya jana(ijumaa) kule Algeria ,well ukweli ni kwamba hamna timu kati ya zile yenye quality ambayo Yanga wanayo nadhan itakuwa sio fair kwa mpira wa miguu kwa Yanga hii ya Pacome,Aucho , Baka etc kutoenda robo halafu aende Mc Alger,plus the fact kwamba timu za Tanzania zina amsha amsha kubwa kwenye hii michuano na CAF wenyewe wanalijua hilo.
ALL THE BEST DEPORTIVO LE UTOPOLO MJISHIKILIE IBENGE ASIWASHENYETE TENA MTATUTIA AIBU KAMA TAIFA.
Kiuweli mlikosea timing ya kufukuza kocha mkashenyetwa game 2 hiyo itawa haunt had mechi ya mwishoYani maneno mengi mpaka yamenichosha binafsi. Hebu tuwaache waende tubaki na vile ligi itasimama miezi 2 tukae kimyaa mpaka msimu uishe ni silent moves. Gusa achia twende kwao tuishi tu humo
Mbali na kuipenda Simba pia naupenda mpira zaidi nadhan utanielewa upande huoUtakuwa kuna pisi ya kiutopolo unainyemelea unajaribu kusafisha njia
Still mna quality ya kuchallenge kwenye robo na nadhan kama si Al Ahly na Esperance elite wengine kama Mamelod,Pyramid, Orlando mnaweza kuruka nao vizuri tu kama mkifuzumsimu huu umekuwa wa taabu na machungu sana kwetu sisi wana yanga