Uto wamechoka blo. Kuzifunga hivi vitimu sijui Dodoma Jiji sijui Mazembe iliyojichokea kusikupumbaze. Yanga hii ikikutana na timu kama Pyramids au Esperance watatia aibu nakwambia. Wakitoka mapema washukuru kikombe walichokiepuka.Mbali na kuipenda Simba pia naupenda mpira zaidi nadhan utanielewa upande huo
Ok tuombee angalau Yanga apate sare kwa Al hilal ili ibaki battle ya Yanga na Mc Alger hapo ndo kitaumana vzr na tutaelewana.Uto wamechoka blo. Kuzifunga hivi vitimu sijui Dodoma Jiji sijui Mazembe iliyojichokea kusikupumbaze. Yanga hii ikikutana na timu kama Pyramids au Esperance watatia aibu nakwambia. Wakitoka mapema washukuru kikombe walichokiepuka.
Ni kweli MCA siyo timu ya kutisha kihivyo ila kila mechi ina pressure zake. Kuiangalia MCA kwa mechi ya jana tu ni kuukosea mpira.
Tuwaombee kwani wao wanaiombea Simba ifanye vzr?Ok tuombee angalau Yanga apate sare kwa Al hilal ili ibaki battle ya Yanga na Mc Alger hapo ndo kitaumana vzr na tutaelewana.
Ofcz pia kuingia robo fainali sio big issue ingawa wakivuka zaidi ya hapo tutatesekaTuwaombee kwani wao wanaiombea Simba ifanye vzr?
Fresh tu mbonaKiuweli mlikosea timing ya kufukuza kocha mkashenyetwa game 2 hiyo itawa haunt had mechi ya mwisho
Imekua nongwa mkuu hatupumui mtu una mambo yako unakutana na kebehi na masimango aisee !Poleee. Sikudhani kama mnaumia kiasi hiki. Nitashawishi wenzangu tupunguze kebehi na utani.
Pole sana. Yote ni kunogesha mpira tu, siyo serious kihiivyoFresh tu mbona
Imekua nongwa mkuu hatupumui mtu una mambo yako unakutana na kebehi na masimango aisee !