Mmwaona huko mashabiki wa Simba? Waazisha dozi ya kulamba ASALI kutwa mara tatu wakiendeleza masimango kwa Watani za Yanga baada ya kupiwa bao 3-1 na Tabora United hapo jana.
Kwahiyo kwasasa GSM hanunui tena mechi, si ndiyo? Tukianza kushinda tena tusije kusikia visingizio vya kuokotaokota. Huu ni muda pekee wa Simba kufurahi..