Mshahara haujawahi kutosha labda uibe

Mshahara haujawahi kutosha labda uibe

Jumanne Mwita

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2014
Posts
530
Reaction score
1,446
Kijana wa Kitanzania popote pale ulipo, kwenye kazi yeyote ile, kama unapiga kazi kisawasawa na malipo yako hayafurahishi, DAI UNACHOSTAHILI! Kuna ubaguzi sana kwenye hizi ajira ni njaa tu zinawafanya watu wawe kimya.

NB; Ushauri wangu siyo sheria usije ukajichanganya, Badala ya kudai unachostahili pambana kujitegemee. Mshahara haujawahi kutosha labda uibe [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mshahara hauwezi kukutosha wengine tume ajiriwa ili kupata channel za kupiga pesa ndefu kupata rushwa nk, ni Tanzania peke mwana siasa na mtumishi wa umma ni matajiri kuliko wafanya biashara( wanamiliki nyumba za maana) jiulize hizo pesa wanazitowa wapi?
Ni changamoto sana aisee
 
Covax njoo hapaa internet haifutiki, kumbeeeee.

BTW naongezea,

Pesa haijawahi tosha mpaka Ufe
 
Nasikia mishahara imenona sana siku hizi, kila unayemuuliza anazungumzia kuanzia 1.5m baada ya makato.
Ni ushamba na umasikini kutokana na familia tuliko toka 1.5m ni sawa sawa na 50k kwa kila siku kwa maisha ya Dar utaishia kulipia nyumba ya wastani usafiri na kununua nafaka ndani.
 
Nasikia mishahara imenona sana siku hizi, kila unayemuuliza anazungumzia kuanzia 1.5m baada ya makato.
Acha kusikiliza story za migahawani, mtumishi kaongezewa sana sikuizi kapewe Tsh 16,000 sekta binafsi napo umepambana zaidi ya miaka 2 nyongeza Tsh 50,000
 
Truth be told, most people suffer from what I would like to call ^FINANCIAL SYNDROME,^ simply because their ^academic qualifications^ have stuck them into debilitating muddy slavery from which seemingly are unable to set themselves free.

Generally speaking, if you admired the true discipline of schooling, chances are, the people of both private and public companies, home and abroad, are relentlessly looking for your services even though you've tried to write them off several times in the past.
 
Mimi ukonipa Million 6 kama huko kwingine utanitosha tuache siasa
 
Kijana wa Kitanzania popote pale ulipo, kwenye kazi yeyote ile, kama unapiga kazi kisawasawa na malipo yako hayafurahishi, DAI UNACHOSTAHILI! Kuna ubaguzi sana kwenye hizi ajira ni njaa tu zinawafanya watu wawe kimya.

NB; Ushauri wangu siyo sheria usije ukajichanganya, Badala ya kudai unachostahili pambana kujitegemee. Mshahara haujawahi kutosha labda uibe [emoji23][emoji23][emoji23]
Si mshahara pekee, HAKUNA HELA ILIYOWAHI KUTOSHA
 
Kijana wa Kitanzania popote pale ulipo, kwenye kazi yeyote ile, kama unapiga kazi kisawasawa na malipo yako hayafurahishi, DAI UNACHOSTAHILI! Kuna ubaguzi sana kwenye hizi ajira ni njaa tu zinawafanya watu wawe kimya.

NB; Ushauri wangu siyo sheria usije ukajichanganya, Badala ya kudai unachostahili pambana kujitegemee. Mshahara haujawahi kutosha labda uibe [emoji23][emoji23][emoji23]
Mishahara ya Ualimu ndio kabisa na cha kuiba HAKUNA huko hata chaki haziibiki.
 
Back
Top Bottom