Mshahara haujawahi kutosha labda uibe

Mshahara haujawahi kutosha labda uibe

Naona watu wakijuzana tu vijiweni, kazi gani, kwakweli sijui

Ni kama hapa JF, tusio na magari hatuzidi 7
Humu ndani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]
 
Mimi nikute take home ya 5M kwenye akaunti, itanitosha
 
Nakumbuka nikiwa na mshahara mdogo ulitosha kabisa.

Baada ya kuongezeka tu ukawa hautoshi Tena.

Nikaamua kwenda kulima.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umetumiwa sana ndugu umekuja kugundua muda umekutupa mkono [emoji119][emoji119]
Nilikuwa mchungu sana kutoa zaka utadhani nilikuwa napata pesa kwa nguvu na juhudi zangu mwenyewe.

Pia zaka inamlinda Mtu kiafya, kiroho mbali na mafanikio ya kipato pekee.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom