Jumanne Mwita
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 530
- 1,446
Ni changamoto sana aiseeMshahara hauwezi kukutosha wengine tume ajiriwa ili kupata channel za kupiga pesa ndefu kupata rushwa nk, ni Tanzania peke mwana siasa na mtumishi wa umma ni matajiri kuliko wafanya biashara( wanamiliki nyumba za maana) jiulize hizo pesa wanazitowa wapi?
Ni ushamba na umasikini kutokana na familia tuliko toka 1.5m ni sawa sawa na 50k kwa kila siku kwa maisha ya Dar utaishia kulipia nyumba ya wastani usafiri na kununua nafaka ndani.Nasikia mishahara imenona sana siku hizi, kila unayemuuliza anazungumzia kuanzia 1.5m baada ya makato.
Acha kusikiliza story za migahawani, mtumishi kaongezewa sana sikuizi kapewe Tsh 16,000 sekta binafsi napo umepambana zaidi ya miaka 2 nyongeza Tsh 50,000Nasikia mishahara imenona sana siku hizi, kila unayemuuliza anazungumzia kuanzia 1.5m baada ya makato.
Nakazia hapaC mshaharaa tu mkuu..
Kiufupii PESA AIJAWAHI MTOSHA MTU..
Nasikia mishahara imenona sana siku hizi, kila unayemuuliza anazungumzia kuanzia 1.5m baada ya makato.
Si mshahara pekee, HAKUNA HELA ILIYOWAHI KUTOSHAKijana wa Kitanzania popote pale ulipo, kwenye kazi yeyote ile, kama unapiga kazi kisawasawa na malipo yako hayafurahishi, DAI UNACHOSTAHILI! Kuna ubaguzi sana kwenye hizi ajira ni njaa tu zinawafanya watu wawe kimya.
NB; Ushauri wangu siyo sheria usije ukajichanganya, Badala ya kudai unachostahili pambana kujitegemee. Mshahara haujawahi kutosha labda uibe [emoji23][emoji23][emoji23]
Naona watu wakijuzana tu vijiweni, kazi gani, kwakweli sijuiKazi gani hizo tuambiane
Mishahara ya Ualimu ndio kabisa na cha kuiba HAKUNA huko hata chaki haziibiki.Kijana wa Kitanzania popote pale ulipo, kwenye kazi yeyote ile, kama unapiga kazi kisawasawa na malipo yako hayafurahishi, DAI UNACHOSTAHILI! Kuna ubaguzi sana kwenye hizi ajira ni njaa tu zinawafanya watu wawe kimya.
NB; Ushauri wangu siyo sheria usije ukajichanganya, Badala ya kudai unachostahili pambana kujitegemee. Mshahara haujawahi kutosha labda uibe [emoji23][emoji23][emoji23]