Kitikiti JF-Expert Member Joined Nov 4, 2015 Posts 353 Reaction score 249 Nov 22, 2016 #1 Wajameni, pamoja na wanasiasa kudai kuwa hali ya uchumi Duniani umeshuka yaani huwezi amini kuwa mshahara wa dhambi uko palepale, wala haujabadilika, yaani ni mauti tu......Wejemeni tuache siasa za dhambi ili tuwe na uzima wa milele.
Wajameni, pamoja na wanasiasa kudai kuwa hali ya uchumi Duniani umeshuka yaani huwezi amini kuwa mshahara wa dhambi uko palepale, wala haujabadilika, yaani ni mauti tu......Wejemeni tuache siasa za dhambi ili tuwe na uzima wa milele.
Amoxlin JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 3,782 Reaction score 4,111 Nov 22, 2016 #2 Endeleeni kumuombea huenda Mungu akamtokea na kusema nae.
balimar JF-Expert Member Joined Sep 18, 2015 Posts 7,743 Reaction score 13,657 Nov 22, 2016 #3 Kila atendae dhambi ni mtoto wa shetani
Goodluck TZ JF-Expert Member Joined Oct 24, 2015 Posts 1,448 Reaction score 661 Nov 25, 2016 #4 ظس.طس٠٠٠٠٠٠٠٠٠٠٠٠٠٠٠٠٠٠HAHAHAHAHAHA