Mshahara huu bado haujabadilika

Mshahara huu bado haujabadilika

Kitikiti

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2015
Posts
353
Reaction score
249
Wajameni, pamoja na wanasiasa kudai kuwa hali ya uchumi Duniani umeshuka yaani huwezi amini kuwa mshahara wa dhambi uko palepale, wala haujabadilika, yaani ni mauti tu......Wejemeni tuache siasa za dhambi ili tuwe na uzima wa milele.
 
Endeleeni kumuombea huenda Mungu akamtokea na kusema nae.
 
Back
Top Bottom