mshahara /kipato kwenye ndoa.

Mshauri a reverse tukio. Kwamba amweleze mmewe kinyume cha yalotokea. make kama bank inaongeza inweza kukata mshahara wote kimakosa. So aseme analishughulikia. baada ya hapo akome kupenda mshahara kuliko mmewe.
 
hilo ndo tatizo la changu ni changu ... chake ni changu , na ubinafsi
 
Mshauri a reverse tukio. Kwamba amweleze mmewe kinyume cha yalotokea. make kama bank inaongeza inweza kukata mshahara wote kimakosa. So aseme analishughulikia. baada ya hapo akome kupenda mshahara kuliko mmewe.
Mkuu ushauri umepokelewa
 
Tatizo hapo huyo mwanamke alitumia hizo pesa kwenye matumizi yasiyo ya muhimu au haramu kabisa ndio maana anakuwa mwoga kumwambia.Au alimuhonga bf wake wa pembeni anunue gari?
yawezekana
 
pengine alimhonga serengeti boy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…