Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,081
Huwa mnakosea sana mnapofikiri benki hazina akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo likomwapi smile?Yeye ndo analipia watoto ada?
Yeye ndo analipia watoto ada?
Mkuu ushauri umepokelewaMshauri a reverse tukio. Kwamba amweleze mmewe kinyume cha yalotokea. make kama bank inaongeza inweza kukata mshahara wote kimakosa. So aseme analishughulikia. baada ya hapo akome kupenda mshahara kuliko mmewe.
hata mimi nimeshtuka kidogo hapo....labda hatujamuelewa.
Tatizo hapo huyo mwanamke alitumia hizo pesa kwenye matumizi yasiyo ya muhimu au haramu kabisa ndio maana anakuwa mwoga kumwambia.Au alimuhonga bf wake wa pembeni anunue gari?