The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Hi great thinkers,
Kama mshahara kako ni kadogo na unategenmea mwezi hadi mwezi bila kuwa na marupurupu yoyote basi wewe utakufa maskini kapuku hutaweza hata kuwahudumia wategemezi wako, hutaach a asset yoyote hapa duniani mpaka unazikwa.
Piga picha masaa kumi hadi kumii na mbili unafanya kazi za watu afu unategemea mwisho wa mwezi kamshara kadogoo kwa ajili ya kulipa bills, what if ungetanga masaa 14 ukafanya kazi zako binafsi naamini after miaka kadhaa utakuwa mbali sana tofauti na kufanyia kazi watu wengine.
Huu ushauri unaweza kuuchukua au ukauacha kumbuka fainali uzeeni.