Masikini hajitambui kuwa yeye ni masikini.Akili zetu lazima zichannel kuexplore mazingira ili kuona fursa zilizopo.Mimi tangu kufukuzwa kazi kwa hila nikatumia muda mwingi kusaka haki yangu,ufukara umenichangamsha akili.Hiyo laki saba iko fixed na maisha inabidi kujifix kwa mapato ya laki nne kama mchangia mada mmoja alivyofafanua.Watoto hawakui kuhitaji elimu na mengineyo?Safari yako mwalimu mwenzangu ya kupiga msuli shule ukomo wake ni laki saba mwalimu?Je,nikikuita kwamba wewe ni masikini mwenzangu ila umeficha utambulisho ntakuwa nimekosea?Moderators tafadhalini uacheni uzi huu ili tuumane vrzuri.