The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Naunga mkono hojaHi great thinkers
Kama mshahara kako ni kadogo na unategenmea mwezi hadi mwezi bila kuwa na marupurupu yoyote basi wewe utakufa maskini kapuku hutaweza hata kuwahudumia wategemezi wako, hutaach a asset yoyote hapa duniani mpaka unazikwa
Piga picha masaa kumi hadi kumii na mbili unafanya kazi za watu afu unategemea mwisho wa mwezi kamshara kadogoo kwa ajili ya kulipa bills, what if ungetanga masaa 14 ukafanya kazi zako binafsi naamini after miaka kadhaa utakuwa mbali sana tofauti na kufanyia kazi watu wengine.
Huu ushauri unaweza kuuchukua au ukauacha kumbuka fainali uzeeni
Sawa tichaKuuza maparachichi kwenye kibeseni kichwani na ualimu?
Hapana,ngoja niendelee na ualimu maana huyu mleta mada atanipoteza😔
Maajabu kwa kweliVijana saiv wakipata uwakika wa kodi. Tv friji.kabati tayari wame maliza maisha
kama MUDA unaita 'Mda" hata kazi ya mshahara huwezipata achilia mbali marupurupuHi great thinkers
Kama mshahara kako ni kadogo na unategenmea mwezi hadi mwezi bila kuwa na marupurupu yoyote basi wewe utakufa maskini kapuku hutaweza hata kuwahudumia wategemezi wako, hutaach a asset yoyote hapa duniani mpaka unazikwa
Piga picha masaa kumi hadi kumii na mbili unafanya kazi za watu afu unategemea mwisho wa mwezi kamshara kadogoo kwa ajili ya kulipa bills, what if ungetanga masaa 14 ukafanya kazi zako binafsi naamini after miaka kadhaa utakuwa mbali sana tofauti na kufanyia kazi watu wengine.
Huu ushauri unaweza kuuchukua au ukauacha kumbuka fainali uzeeni
Sasa mkuu, kuna ambao hawajawahi ajiriwa kabisa wana masaa mengi mbona hawatoboi mpaka tunazeeka nao. Tena ni kundi kubwa mamilioni ya watanzania.Hi great thinkers
Kama mshahara kako ni kadogo na unategenmea mwezi hadi mwezi bila kuwa na marupurupu yoyote basi wewe utakufa maskini kapuku hutaweza hata kuwahudumia wategemezi wako, hutaach a asset yoyote hapa duniani mpaka unazikwa
Piga picha masaa kumi hadi kumii na mbili unafanya kazi za watu afu unategemea mwisho wa mwezi kamshara kadogoo kwa ajili ya kulipa bills, what if ungetanga masaa 14 ukafanya kazi zako binafsi naamini after miaka kadhaa utakuwa mbali sana tofauti na kufanyia kazi watu wengine.
Huu ushauri unaweza kuuchukua au ukauacha kumbuka fainali uzeeni
Umeongelea juu juu tu...Maana Majobless ambao Wana muda mwingi wao ndio choka mbaya.Hi great thinkers
Kama mshahara kako ni kadogo na unategenmea mwezi hadi mwezi bila kuwa na marupurupu yoyote basi wewe utakufa maskini kapuku hutaweza hata kuwahudumia wategemezi wako, hutaach a asset yoyote hapa duniani mpaka unazikwa
Piga picha masaa kumi hadi kumii na mbili unafanya kazi za watu afu unategemea mwisho wa mwezi kamshara kadogoo kwa ajili ya kulipa bills, what if ungetanga masaa 14 ukafanya kazi zako binafsi naamini after miaka kadhaa utakuwa mbali sana tofauti na kufanyia kazi watu wengine.
Huu ushauri unaweza kuuchukua au ukauacha kumbuka fainali uzeeni
Kwaiyo unamshauri Mwl aache iyo kazi ili ajiajiri sio...Au unashaurijeHaya ndiyo maisha ya mwalimu wa Tanzania.mfano mwenye shahada anaanza na laki saba kama sikosei.makato yakianza anabaki na laki nne.Chukulia Mfano unakaa kwenye majiji kama dar hiyo laki nne itakufanya upate mahitaji ya kununua dagaa tu .
Kama unaona huo mshahara unakutosha endelea kufundisha kazi ya kishazi huru na tegemeziKwaiyo unamshauri Mwl aache iyo kazi ili ajiajiri sio...Au unashaurije
Daaa huu ukweli mchungu aiseeHi great thinkers
Kama mshahara kako ni kadogo na unategenmea mwezi hadi mwezi bila kuwa na marupurupu yoyote basi wewe utakufa maskini kapuku hutaweza hata kuwahudumia wategemezi wako, hutaach a asset yoyote hapa duniani mpaka unazikwa
Piga picha masaa kumi hadi kumii na mbili unafanya kazi za watu afu unategemea mwisho wa mwezi kamshara kadogoo kwa ajili ya kulipa bills, what if ungetanga masaa 14 ukafanya kazi zako binafsi naamini after miaka kadhaa utakuwa mbali sana tofauti na kufanyia kazi watu wengine.
Huu ushauri unaweza kuuchukua au ukauacha kumbuka fainali uzeeni
Ni Kishazi Mkuu sio Kiambishi.Kama unaona huo mshahara unakutosha endelea kufundisha kazi ya kiambishi huru na tegemezi
Nimeediti.nilipitiwa.tumesoma miaka ya sitini zamani sana.Ni Kishazi Mkuu sio Kiambishi.
hao jobless wavivu, wanaojituma wako mbali sanaSasa mkuu, kuna ambao hawajawahi ajiriwa kabisa wana masaa mengi mbona hawatoboi mpaka tunazeeka nao. Tena ni kundi kubwa mamilioni ya watanzania.
Tujaribu kujua tatizo halisi la huu umasikini.Sidhani sababu kuu ni kamshahara tu kuna nyingine labda.
Siku hizi mie hata nikimuona sijui meneja wa bank au taasisi gani namuona kama hajatoboa japo wengi wanamuona hafanikiwa.
Watu nao waogopa ni wale wana run company na kuajiri wengine, sio muajiriwa anaesubiri posho.
Kuna mshikaji hapa investstment yake itaanza kutengeneza turn over ya milioni 500, tena yupo bush hapa yaani. Nadhani hawa ndio wawe role model sio hao wa posho.
Ni vizuri ungeweka na practical kidogo au uhalisia kuliko ku base kwenye nadharia.Hi great thinkers
Kama mshahara kako ni kadogo na unategenmea mwezi hadi mwezi bila kuwa na marupurupu yoyote basi wewe utakufa maskini kapuku hutaweza hata kuwahudumia wategemezi wako, hutaach a asset yoyote hapa duniani mpaka unazikwa
Piga picha masaa kumi hadi kumii na mbili unafanya kazi za watu afu unategemea mwisho wa mwezi kamshara kadogoo kwa ajili ya kulipa bills, what if ungetanga masaa 14 ukafanya kazi zako binafsi naamini after miaka kadhaa utakuwa mbali sana tofauti na kufanyia kazi watu wengine.
Huu ushauri unaweza kuuchukua au ukauacha kumbuka fainali uzeeni
Na bima ya afyaVijana saiv wakipata uwakika wa kodi. Tv friji.kabati tayari wame maliza maisha