Mshahara mdogo bila marupurupu ni kupoteza muda adimu

Hii ni kweli sio uongo inakera sana 😬😬😬
 

Hii neno la marupurupu ndio limetujazia Wazembe, Majizi na Waomba rushwa kwenye sehemu mbali mbali za kutolea huduma...
Ukikutana na baadhi ya Vijana wanalia mitaani kutafuta ajira, ila wakipata, ni wazembe, kuwazia tu kuiba, vishoka nk nk (get rich soon). Sio vibaya kwa vijana/wafanyakazi kutajirika au kuwa na hela za ziada..
Ushauri wangu: Ifanye ajira yako kama security ya kukusaidia kukopa kwenye taasisi za fedha na kupata mtaji wa kufanyia vitu vingine. Acha kabisa upigaji na kunyanyasa watu kwa kutaka rushwa ili uwahudumie wakati umeajiriwa/unalipwa ili uwahudumie!!!
SIKU ZA MWISHO ZITAKUWA NGUMU SANA!!!
 
Ni vizuri ungeweka na practical kidogo au uhalisia kuliko ku base kwenye nadharia.
Practical ni kwamba jitafakari sana unapo dedicate masaa yote ya kutwa Kwa Maisha yako yote Kufanya KAZI za watu wengune Kwa kipato kidogo kinachokuwezesha Kula tu..

Mshahara wako unatakiwa ukuwezeshe kuishi Zaidí ya miezi 12 baada ya kupoteza kazi bila kuweweseka..waajiriwa wengi miezi 2 bila kazi wanachanganyikiwa ila jobless mtaani anadunda tu bila shida.

Tu jitafakari sana. Most of Africans are cheap labour and are. underpaid
 
Kuna kazi unafanya Ili usife tu, then walivyo jeuri wanakumalizia uzeeni Kwa kukuonjesha asali ya pensheni taratibu taratibu. Kwanini usife kabla ya muda Kwa kazi za aina hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…