Mshahara mpya ni 50,000/= is it a joke or something?

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
4,162
Reaction score
796
Anaejua umuhim wa kujiajiri leo, amechelewa,

Pamoja na bei ya bidhaa, jana na leo kuonyesha things are serious, na kuwa juu kuanzia maji na kila kitu, achilia mbali simu ya mkononi, mshahara bado ongezeko ni dogo kupindukia, kwa wafanyakazi waataangalia posho zao zaidi, kima hiki kinakatisha tamaa, si kuishi tu lakini pia hata hapo kijijini ulipo, hali ni mbaya sana.

SH 35,000 MPAKA 50,000 AMA 60,000 AU 70,000 NI NDOGO SANA.

80,000 KUENDELEA INGEPUNGUZA UKALI WA MAISHA
 
Its not a joke or something,its a matter of life and death, just about enough to keep body and soul together.
 
its simple, if you think isnt enough take advantage of the weak gov system, try illegal busness, corrupt your client then thing will add up. But take care you must be part of the system in cha​rge for the favor to fall on your side
 
80K inapunguza ukali gani wa maisha sasa? 80K hata kula mtu moja hali, utasomesha mtoto, utanunua nguo, utajenga?
na ulivosema anaefikiria kujiajiri kachelew You are the one who is joking naona, its never too late kuanzisha biashara, swala ni biashara gani, market yake ikoje, capital ikoje, risk zikoje.... anyone can be successful
 
Unajua unachoongea lakini kama hujui ungeuliza acha maralia mkuu uliza utonywe udhati ulivyo unatia aibu.
 
Unajua unachoongea lakini kama hujui ungeuliza acha maralia mkuu uliza utonywe udhati ulivyo unatia aibu.

Hebu tutonye mkuu huo udhati ulivyo...!!
 
sijaelewa. Kwamba mshahara wako ni tsh 80,000 au serikali imeongeza kima cha chini kwa tsh 80,000 kwa as added ammount?
 
Weka huo waraka mkuu Kama unao.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…