Amaizing Mimi
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 489
- 1,102
- Thread starter
- #41
Tupeane updates jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupeane updates jamani
Mishahara itatoka tarehe 24 kesho pia kutakuwa nakale kapunguzo ka 1%alikosema bi mkubwa siku ya mei mosi
Mbona mwisho wa mwezi bado?Wadau njaa imezidi na wadeni wangu wanataka hela zao. Vipi jamani, mshaharawa mwezi wa saba bado?
TayariTupeni update kuna watu tunawadai
Wavaa kaki bado??Mkuu huko kwenu wavaa vitenge nilisikia mlishachukua chenu jana.
Ngoja nimuulize jamaa mvaa kaki. [emoji1]Wavaa kaki bado??
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Ngoja nimuulize jamaa mvaa kaki. [emoji1]
HahaaWadau njaa imezidi na wadeni wangu wanataka hela zao. Vipi jamani, mshaharawa mwezi wa saba bado?