Mshahara mwezi September

Salary advance ya crdb inaokoa hasa kipindi cha mapito magumu,na kamshahara kakiingia utaona tu kaujumbe toka CRDB wameshakata chao.
 
Salary advance ya crdb inaokoa hasa kipindi cha mapito magumu,na kamshahara kakiingia utaona tu kaujumbe toka CRDB wameshakata chao.
Hii Iko CRDB tu.. NMB ipo pia..?
 
Huo muda
Wa kuandika hizo emoji umeupataje?kmmmk aisee
 
Sina kitu inaitwa mshahara πŸ˜‚ siijui yan
Ndio maana hujawahi niona nauliza kama umeingia ama umetoka.

Why always nyie ndo mnauliza? Mkitulia tu kimya mshahara hauingii?
Sawa fogo,wafanyabiashara oyeeeeeee.
 
Ndo wanapakia mzigo jiandae ukabebe chako
 
Watu wa jf wajifunze kutumia sim banking, kuliko kila mwisho wa mwezi unaulizia.
Acheck balance kutumia simu yake.
Ushauri mzuri huu, nafikiri ataufanyia kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…