Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa naanza kupata mwangaKibongobongo mshahara mzuri take home ni 1m mpaka 4m
Mshahara mzuri sana ni kuanzia 5m mpaka 10m
Mshahara wa kiboss/kikurugenzi ni kuanzia 10m mpaka 35m
Mshahara wa watu wazito ni kwa USD $ hasa wanaofanya kazi kwenye mashirika ya kimataifa mishahara yao huanzia $15,000 hadi $50,000+
Kuna wengine wanapata $100,000+
Sawa MkuuHapa naanza kupata mwanga
Kuna watu wanatoboa hata bila mshahara.500tsh kwa mwezi bila unafki mtu hata nusu siku hatoboi
Hili ni jibu la kinafiki kabisa. 😎🤓500/-Tsh.
Km unaweza kusave 30% baada ya matumizi yote
Umasikini huo1m siyo mbaya
Mshahara mzuri au maisha mazuri inategemea na familia Uliyotoka, wengine katika ukoo wao wote hakuna aliyesoma kwa hyo mtu akiwa na certificate ni mafanikio ila wengine ni mpaka PHD kwasababu ya family background kwa hyo mshahara mkubwa au mdogo inategemea na family background ya mtu wengine kwao wamekuwa wamekuta gari ila wewe ambaye kwenu hakuna gari na hamjawahi kumiliki gari ukinunua IST, ni mafanikio.Ni kiwango kipi mtu anaweza sema amepata kazi ya mshahara mzuri kwa hali ya maisha iliyopo hapa nchini na kwenye soko la ajira bongo?
Wadau wa maokoto ya mwisho wa mwezi tupeni abc