swaumunaswiru
Member
- Jan 24, 2014
- 51
- 8
wafanyakazi wa tanzania tujitahidi sana kuitoa ccm madarakani mwaka huu ili tuwe na serikali mpya nayo tuione kwanza maana kama kudanganywa na serikali ya ccm tume danganywa sana sasa tujikomboe ss wenyewe kama madereva w ameweza kwanini wafanyakazi tushindwe? tukutane October tuitoe ccm madarakani