swaumunaswiru
Member
- Jan 24, 2014
- 51
- 8
Jamani, sie walimu wapya tunapewa lini hela ya kujikimu na mshahara wa mwezi wa tano? Maana tumeshariport kazini, hali ya kiuchumi sio nzuri, tunaomba kufikiriwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wafanyakazi wa tanzania tujitahidi sana kuitoa ccm madarakani mwaka huu ili tuwe na serikali mpya nayo tuione kwanza maana kama kudanganywa na serikali ya ccm tume danganywa sana sasa tujikomboe ss wenyewe kama madereva w ameweza kwanini wafanyakazi tushindwe? tukutane October tuitoe ccm madarakani