Mshahara Serikalini umekuwa wa Mgao, tunakwenda wapi?

Mshahara Serikalini umekuwa wa Mgao, tunakwenda wapi?

Inakuwaje Hadi Leo Kuna watu hawajapata mshahara wao? Inakuwaje mshahara unatoka Kwa mafungu? Angalu basi ingetofautiana dakika na masaa tu lakini sio sawa wengine Toka tar 22 wamepata mshahara na wengine Hadi Leo Kimya.

Mwigulu hebu jitafakari
Asie taka mgao ahamie Burundi.
 
serikalini raha sana tar 22 unalipwa mshahara? Private sector ni mpaka siku ya mwisho ya mwezi na wakati mwingine mpaka tarehe 35 au 40
Muongoo

Mbona kwetu ilikuwa tar 23
 
kwenu mkuu, kwetu ni mpaka siku ya mwisho ya mwezi. Na ikiangukia jmosi au jpili ujue ni wiki inayofuata
Si ndo rahaa

Maana wengine hapa hela inakaribia kuisha 🤣
 
Inakuwaje Hadi Leo Kuna watu hawajapata mshahara wao? Inakuwaje mshahara unatoka Kwa mafungu? Angalu basi ingetofautiana dakika na masaa tu lakini sio sawa wengine Toka tar 22 wamepata mshahara na wengine Hadi Leo Kimya.

Mwigulu hebu jitafakari
Inasemekana waliopewa mishahara hawajagawiwa vishikwambi na waliopewa vishikwambi ndiyo hawajalipwa mishahara
 
serikalini raha sana tar 22 unalipwa mshahara? Private sector ni mpaka siku ya mwisho ya mwezi na wakati mwingine mpaka tarehe 35 au 40
Mkuu tar 35 au 40 ahahah
ok hyo ni sector binafsi. Je wajua?!
makampuni yanalipa mpaka tar 50 au 55!

kuna kampuni hapa haijalipa wafanyakazi wao miezi 4, hii inaitwa tar 120!!
 
Akili za kijinga sana hizi, mkiambiwa utumishi wa umma wa kibongo ni utumwa mnakuwa wabishiiiiiii, ila poleni sana
 
Samahani tunaomba utusaidie jina na check no yako ili tuwe tunakupa wewe wa kwanza kabla ya wote Kama ishara ya kukuomba radhi maana tumekukosea sana boss wetu
 
Back
Top Bottom