Sio kesho ni leo.Kwa wale watumishi wanaotumia Nmb Mgodi umetema kesho mapema kachukueni vyenu.Thanks
Kwa wale watumishi wanaotumia Nmb Mgodi umetema kesho mapema kachukueni vyenu.Thanks
Condom inakopwa Mkuu??nimecheka sanaHaya ' Wajeda ' kachukueni upesi ' mishahara ' yenu mje mtulipe madeni yetu huku katika maduka yetu ambapo kila uchao mnakuja tu Kutukopa Unga, Mchele, Sabuni, Sukari, Mafuta ya Mgando na Condoms. Akhsante sana kwa taarifa hii ' murua ' kabisa Mkuu.
Nahis tayar coz hata kuna baadhi ya benk mishahara imetoka janaWa CRDB vp
Hata serikali kuu tayariWatumishi wa Halmashauri tu