Mshahara tayari

Mshahara tayari

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Kwa wale watumishi wanaotumia Nmb Mgodi umetema kesho mapema kachukueni vyenu.Thanks
 
a9bceed645f68d713b0690ac4f1ff83c.jpg
 
Kwa wale watumishi wanaotumia Nmb Mgodi umetema kesho mapema kachukueni vyenu.Thanks

Haya ' Wajeda ' kachukueni upesi ' mishahara ' yenu mje mtulipe madeni yetu huku katika maduka yetu ambapo kila uchao mnakuja tu Kutukopa Unga, Mchele, Sabuni, Sukari, Mafuta ya Mgando na Condoms. Akhsante sana kwa taarifa hii ' murua ' kabisa Mkuu.
 
Condom inakopwa Mkuu??nimecheka sana
 
Mshahara bado kwa halmashaur za Dsm
 
Back
Top Bottom