Mshahara ukitoka tu nakuwa na wenge na akili haitulii inawaza kwenda tu bar kunywa pombe

RoadLofa

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
2,021
Reaction score
4,488
Mambo vipi wakuu?

Leo nimekuja na shida yangu kubwa ni ulevi uliopindukia wa pombe kali kuna muda hadi narudishwa nyumbani na watu maana nikianza kunywa tu naweza fululiza ata siku mbili na kula unakuta nashindwa,yaani nimejaribu kuacha nimeshindwa kuna kipindi nimewahi pia kuomba ushauri na msaada umu ni muda kidogo na nilifuata baadhi ya ushauri ila bado sijafanikiwa kuacha,

Huu ni mwaka wa tatu kuanzia 2023 nimekuwa nikijaribu kuacha na naweka mpango kabisa wa kuacha na mara nyingi nikiwa sina hela ndo mpango uwa unaenda sawa naweza kutokunywa kwa mwezi hadi siku 20 ila mshahara ukitoka tu basi hali uwa mbaya na kujikuta nimerudi tena kwenye ulevi.

Nataka kuacha kwa sababu inaniathiri kiuchumi mara nyingi uwa najikuta nina madeni kibao maana mshahara haukai sana yaani ndani ya weekend moja tu ya mwanzo najikuta nimepoteza kuanzia laki 1 hadi 2 na mshahara baada ya makato yote ni tsh 700,000 ila kutokana na madeni unakuta naambulia shT. 300,000 na nina mwaka mmoja kazini ila sina maendeleo yoyote yaani ukiingia ghetto kwangu unaweza dhani sio mtumishi wa umma.

Nimeona kuwashirikisha ili nipate ushauri kama kuna ambao wamewahi pitia iyo hali waliwezaje kuchomoka ?

Pombe nilianza 2016 ila kuanzia 2023 ndo hali imeanzia kuwa mbaya sana
 
We ni dini gani? Fanya ibada. Kwa imani yako funga na kuomba mara kwa mara, kufunga kunaondoa vifungo vya aina zoote.
Ukifunga mara kwa mara hamu ya pombe inaondoka.
 
Tule vyombo tule vyombo mwanetu na kuna kitu umesahau hujasema vitu vikali gani unavyotumia ni hii?
IMG20260614145534.jpg
 
Siku nikianza kupokea mshahara kama wewe
Naenda kulipia michango yangu ya Chama tangu mwaka niliozaliwa hadi sasa.
 
We ni dini gani? Fanya ibada. Kwa imani yako funga na kuomba mara kwa mara, kufunga kunaondoa vifungo vya aina zoote.
Ukifunga mara kwa mara hamu ya pombe inaondoka.
roman catholic
 
Hauna malengo
Siku ukiwa na malengo pesa ya pombe hutaiona maana ukipata mshahara inabidi utoe pesa ya malengo pembeni
Mfano umesema una geto la kishamba
Ukipata pesa kila mwezi unatoa ya kununua vitu ndani ikibaki kidogo ya kula hata ukinywa utakunywa kistaarabu
 
Kwanza ukishakiri udhaifu jua unaelekea kupona, Mosi, usiwe unajisubirisha kupata hamu kali, jiwekee utaratibu wa kuwa unakunywa kiasi kidogo tu hata kama ni kwa siku unachopitia kwa sasa unatamani kuacha ghafla ila haiwezekani, punguza kidogo kidogo ndo utaweza kuacha !

Pia kama unaweza jitahidi kuacha kwenda Bar , anza kununua nywea nyumbani ! Ukiwa mwenyewe huwezi kunywa nyingi kama ukiwa Bar na Kampani. Taratibu mzee utatoka
 
Hauna malengo
Siku ukiwa na malengo pesa ya pombe hutaiona maana ukipata mshahara inabidi utoe pesa ya malengo pembeni
Mfano umesema una geto la kishamba
Ukipata pesa kila mwezi unatoa ya kununua vitu ndani ikibaki kidogo ya kula hata ukinywa utakunywa kistaarabu
dah kweli mkuu iyo mbinu natakiwa kuitumia,maana kukaa na hela nyingi kama kumeshanishinda kabisa
 
We ni dini gani? Fanya ibada. Kwa imani yako funga na kuomba mara kwa mara, kufunga kunaondoa vifungo vya aina zoote.
Ukifunga mara kwa mara hamu ya pombe inaondoka.
hii itasaidia akizingatiia Pia weka malengo unayotaka kufkia, ikimshinda nenda bank weka standing order kila salary wakate autmatc na kukuhfadhia fixed account baada ya muda ufanyie malengo
 
Mambo vipi wakuu?

Leo nimekuja na shida yangu kubwa ni ulevi uliopindukia wa pombe kali kuna muda hadi narudishwa nyumbani na watu maana nikianza kunywa tu naweza fululiza ata siku mbili na kula unakuta nashindwa,yaani nimejaribu kuacha nimeshindwa kuna kipindi nimewahi pia kuomba ushauri na msaada umu ni muda kidogo na nilifuata baadhi ya ushauri ila bado sijafanikiwa kuacha,

Huu ni mwaka wa tatu kuanzia 2023 nimekuwa nikijaribu kuacha na naweka mpango kabisa wa kuacha na mara nyingi nikiwa sina hela ndo mpango uwa unaenda sawa naweza kutokunywa kwa mwezi hadi siku 20 ila mshahara ukitoka tu basi hali uwa mbaya na kujikuta nimerudi tena kwenye ulevi.

Nataka kuacha kwa sababu inaniathiri kiuchumi mara nyingi uwa najikuta nina madeni kibao maana mshahara haukai sana yaani ndani ya weekend moja tu ya mwanzo najikuta nimepoteza kuanzia laki 1 hadi 2 na mshahara baada ya makato yote ni tsh 700,000 ila kutokana na madeni unakuta naambulia shT. 300,000 na nina mwaka mmoja kazini ila sina maendeleo yoyote yaani ukiingia ghetto kwangu unaweza dhani sio mtumishi wa umma.

Nimeona kuwashirikisha ili nipate ushauri kama kuna ambao wamewahi pitia iyo hali waliwezaje kuchomoka ?

Pombe nilianza 2016 ila kuanzia 2023 ndo hali imeanzia kuwa mbaya sana

Kwani shida ipo wapi? Si ni pesa yako?
Kula vyako, warithi hawana shukrani!
 
Back
Top Bottom