Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
InafikirishaTunataizo la kuwa na mzunguko mzuri wa pesa mwisho wa mwezi kisha kukata kwa karibu siku 20. Biashara nyingi zinalala sana katikati ya mwezi.
Kwa sababu watu hawapangi foleni dirishani kuchukua mshahara kwa nini serikali na hata waajiri wengine wasilipe mishahara kwa wiki ili kusisimua uchumi. Kiasi ni kilekile sawa, lakini ni faida pesa ikiwa kwenye mzunguko na kuchochea uchumi badala ya kukaa idle mwezi mzima.
Burudani kabisa. Hata mangi ukimwambia nakulipa ijumaa hakunji sura.Kwakweli. Kamilioni kangu wakikagawa mara nne kila ijuma nakunja zangu 250k saafi kabisa
Zitakusanyika benki. Hakuna anayekukataza kutotoa.Mimi mshahara wangu ntaendelea kuchukua Tare 24/25.
Mnikome na mauchumi yenu 😀
Sahihi kabisa, nimewah fanya kazi na kampuni moja ya ads kila jumatatu mzigo ulikuwa unatema, maisha yalikuwa safi sana.. ila sema hela huwa haionekani!
Unafikiri ulaya wanalipa kwa wiki kama wanavyosemaga sijui Haaland anapokea Pound 350k kwa wikiHilo WAZO nimetoka kulifikoria Leo, hususani klabu za mpira simba na YANGA mshahara utolewe KWA wiki ili uchumi WETU ukue
Hii ni idea nzuriTuna taizo la kuwa na mzunguko mzuri wa pesa mwisho wa mwezi kisha kukata kwa karibu siku 20. Biashara nyingi zinalala sana katikati ya mwezi.
Kwa sababu watu hawapangi foleni dirishani kuchukua mshahara kwa nini serikali na hata waajiri wengine wasilipe mishahara kwa wiki ili kusisimua uchumi. Kiasi ni kilekile sawa, lakini ni faida pesa ikiwa kwenye mzunguko na kuchochea uchumi badala ya kukaa idle mwezi mzima.
Mambo ya bucha kuchangamka mwisho wa mwezi tu yatakoma.Wazo zuri saana hili,
Yaani watu watalala saana baa.
Wakina sie mafundi watapishana saana site
And that is how you grow your economy, mzunguko wa pesa ni muhimu sanaWazo zuri saana hili,
Yaani watu watalala saana baa.
Wakina sie mafundi watapishana saana site