Mshahara ulipwe kila wiki ili kusisimua uchumi

Mshahara ulipwe kila wiki ili kusisimua uchumi

Kwa sisi walimu wa kata huu upuuzi huu hatuutaki.
Kwa mshahara wangu huu wa 300k/mwezi utaishia kwenye nauli tu.
Nauli ya kutoka maneromango Hadi kisarawe na kurudi ni 20k, (mara 4 /month) ni 80k.
Kwa hiyo Kila mwezi 60k itapotea kwenye nauli tu. Kwa mwaka ni 720k.
Utakuwa unaenda kuchukua mwisho wa mwezi. Hakuna atakayekushikia bunduki utoe kila wiki.
 
Umeshafanya kazi Kwenye Club yeyote La Liga idara ya fedha au uhasibu?
Huu mjadala ulikuja X kule kuwa watu wengi walikuwa wanaamini hivyo kuwa mshaahra hulipwa kwa wiki kama tunavyosoma yale huwa ni makisio tu kwa wiki ila Vilabu vingi havilipi kwa wiki na wakasema mfano ni La liga wanalipa mara mbili tu

Hebu tueleze wwe unachojua kuhusu malipo ya hao watu
 
Nimeliwaza sana hili Mkuu kusema kweli tunapigwa parefu sana baada ya wiki 4 tu haijalishi ni tarehe ngapi mzigo kwenye account

Sasa hii Tabia ya kila Tarehe 22_25 tunanyanyasika sana mkuu yana siku 366 wewe uanlipwa mara 12 tu
Ha ha
 
Back
Top Bottom