Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Xin Jinping for president 👏👏👏Kiuchumi expenditure ya watu husisimuliwa kwa:
Kupunguza makato kwenye mishahara. Kiwango cha take home cha Mwajiriwa kitaongezeka ataongeza manunuzi. PAYE na PSSSF wana makato ya ****** sana
Serikali ipunguze kodi ya mauzo na VAT kwenye bidhaa, kukiwa na upungufu wa kodi itawafanya waajiriwa wamudu kununua zaidi bidhaa
Serikali ipunguze riba ya ukopeshaji kwenye mabenki ya biashara, kadiri riba inavyokuwa ndogo inastimulate matumizi
Serikali iweke ruzuku kwenye nishati kama mafuta na umeme itapunguza gharama za uzalishaji, usafirishaji, nauli hii hufanya wananchi wasitumie pesa mingi kwenye kulipia hizo bills kitakachobaki kitaongezeka na wataspend
Serikali iongeze miradi mbalimbali kama ya ujenzi wa miundombinu n.k hii hutoa ajira za moja kwa moja. Kadiri watu wengi wanavyoajiriwa kwenye miradi hiyo ndivyo watakavyospend zaidi na kuongeza mzunguko wa pesa
AHA kumbeUnafikiri ulaya wanalipa kwa wiki kama wanavyosemaga sijui Haaland anapokea Pound 350k kwa wiki
La Liga wanalipa mara mbili kwa Mwaka yaan mshahara wako wawiki unapigwa kwa miezi 6 wanatia kwenye AC
Hakika mnapunjwa mwezi mmojaIssue alieanzisha mfumo tulipwe Mwisho wa Mwezi alikosea sana mana tunatabia ya kujifanya kuwa Mwezi una wiki 4 sasa ukija kupiga hesabu unakukuka unapaswa ulipe kila baada ya siku 28 napo tunavyolipwa mara 12 ni tunapunjwa wakuuu
Sijalewa
Nimeliwaza sana hili Mkuu kusema kweli tunapigwa parefu sana baada ya wiki 4 tu haijalishi ni tarehe ngapi mzigo kwenye accountHakika mnapunjwa mwezi mmoja
28×12=336
Sasa mwaka unasiku 366
366-336=30(mapunjo)🤣🤣🤣🤣
Acha unachokunywa urudi nyumbani 😃Nimeliwaza sana hili Mkuu kusema kweli tunapigwa parefu sana baada ya wiki 4 tu haijalishi ni tarehe ngapi mzigo kwenye account
Sasa hii Tabia ya kila Tarehe 22_25 tunanyanyasika sana mkuu yana siku 366 wewe uanlipwa mara 12 tu
😂😂😂😂😂Mimi mshahara wangu ntaendelea kuchukua Tare 24/25.
Mnikome na mauchumi yenu 😀
Side hustle inategemea mzunguko wa pesa. Kama mzunguko ni mzuri mwisho wa mwezi tu itakuwaje? Kama umeelewa mada, haizungumzii kuridhika na mshahara. Inazungumzia mzunguko wa pesa.Mshahara hata ukilipwa kila siku huwezi ridhika nao. Tengeneza "Side hustle" kijana.
Mamdogo kaa utulie upige hesabu vizuri kuna zaidi ya siku 30 hatulipwiAcha unachokunywa urudi nyumbani 😃
Hivi aliyeanzisha malipo yawe kwa mwezi ni nani?Malipo kwa mwezi ni kipimo cha matumizi.
Tuna taizo la kuwa na mzunguko mzuri wa pesa mwisho wa mwezi kisha kukata kwa karibu siku 20. Biashara nyingi zinalala sana katikati ya mwezi.
Kwa sababu watu hawapangi foleni dirishani kuchukua mshahara kwa nini serikali na hata waajiri wengine wasilipe mishahara kwa wiki ili kusisimua uchumi. Kiasi ni kilekile sawa, lakini ni faida pesa ikiwa kwenye mzunguko na kuchochea uchumi badala ya kukaa idle mwezi mzima.
Swali la msingi halina majibu ya kuaminika.Hivi aliyeanzisha malipo yawe kwa mwezi ni nani?
Swali la msingi halina majibu ya kuaminika.